Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Uganda ashindwa eleza walipopelekwa waliokamatwa na wanajeshi

Screenshot 2021 01 28 At 12.20.44 660x400.png Waziri Uganda ashindwa eleza walipopelekwa waliokamatwa na wanajeshi

Fri, 29 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uganda, Jenerali Jeje Odongo amesema, anashindwa kueleza mahali walipopelekwa watu waliochukuliwa na Wanajeshi kipindi cha Uchaguzi Mkuu.

Waandishi wa Habari waliuliza kwa kutaja majina ya watu kumi ambao walikamatwa na wanajeshi wakiwa nyumbani kwao au maeneo ya kazi.

Waziri alisema kuwa, hawana ripoti za watu kupotea hata hivyo alisema namna nzuri ya kusaidia ni kutaja gari, mahali na siku ambayo watu hao walikamatwa.

Chanzo: millardayo.com