Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu wa Gabon: Ali Bongo anapaswa kufunguliwa mashtaka

Waziri Mkuu Wa Gabon: Ali Bongo Anapaswa Kufunguliwa Mashtaka Waziri Mkuu wa Gabon: Ali Bongo anapaswa kufunguliwa mashtaka

Wed, 13 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viongozi wapya wa kijeshi wa Gabon wanasema wamemuachilia huru Rais wa zamani Ali Bongo kutoka kifungo cha nyumbani.

Kiongozi huyo aliyeondolewa madarakani alikuwa amezuiliwa tangu jeshi lilipochukua mamlaka mwezi Agosti.

Mwandishi wa BBC Thomas Naadi alizungumza na Waziri Mkuu mpya wa Gabon, Raymond Ndong Sima, kuhusu mipango ya kufunguliwa mashitaka Bongo pamoja na baadhi ya mawaziri wa zamani, pamoja na mipango ya kuirejesha nchi hiyo kwenye utawala wa kiraia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live