Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu Ivory Coast afariki dunia

158605178 202045091696424 8841304266612274407 N 660x400 Waziri Mkuu Ivory Coast afariki dunia

Fri, 12 Mar 2021 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Hamed Bakayoko amefariki dunia leo akiwa katika Freiburg nchini Ujerumani ambako alikuwa akipatiwa matibabu kutokana na ugonjwa wa kansa.

Rais wa nchi hiyo, Alassane Ouattara amesema wataanza kuomboleza kuanzia leo hii.Kifo chake kinajiri baada ya siku mbili zilizopita kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 56.

“Taifa linaomboleza kifo chake.” alisema Alassane Ouattara kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter.

Chanzo: millardayo.com