Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waziri Mkuu Boris kuhojiwa

Https   D1e00ek4ebabms.cloudfront.net Production Ff90edcb 22b9 477f Bffd 30d94fbdf189 660x393 Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson

Wed, 12 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson leo atahojiwa kuhusiana na sherehe zilizofanywa na wafanyakazi wa ofisi yake kipindi ambapo nchi ilikuwa kwenye vikwazo na sheria kali katika kuzuia usambaaji wa virusi vya corona.

Sherehe hizo ambazo zilifanyika katikati na mwishoni mwa mwaka 2020 zimezua mjadala mkubwa mpaka kupelekea wabunge na wapiga kura wengi kumtaka Waziri Mkuu huyo ajiuzulu.

Picha kadhaa zilisambaa mitandaoni zikimuonyesha Waziri Mkuu akiwemo kwenye sherehe hizo, pamoja na mashuhuda wengine kutoa ushahidi ambao umesababisha Waziri Mkuu aitwe na kuhojiwa.

Mahojiano hayo yatarushwa moja kwa moja kupitia stesheni za habari nchini Uingereza na mitandaoni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live