Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wawili wajeruhiwa kwa risasi Kenya

Mtu Mmoja Auawa Waandamanaji Wakikabiliana Na Polisi Kenya Wawili wajeruhiwa kwa risasi Kenya

Wed, 19 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Watu wawili wamejeruhiwa kwa kupigwa risasi katika maandamano dhidi ya serikali yanayoendelea katika Kaunti ya Migori nchini Kenya.

Msimamizi wa hospitali ya makao ya wauguzi ya Oruba Mike Ochere amethibitisha kuwa wanaume wawili wa umri wa makamo ambao wamejeruhiwa kwa risasi wanapokea matibabu katika kituo hicho cha afya.

Ochere amesema mmoja wa waathiriwa amepigwa risasi kwenye paja huku mwingine akipigwa risasi ya mguu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live