Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watumishi wa umma wasiopata chanjo wazuiliwa kwenda kazini

Flag Of Zimbabwe.png Zimbabwe

Wed, 15 Sep 2021 Chanzo: millardAyo

Serikali Nchini Zimbabwe imewapiga marufuku wafanyakazi wa Utumishi wa Umma kwenda Maofisini ambao hawajachanja chanjo ya Covid-19. ikiwa ni njia ya kupunguza kasi ya maambukizi .

Waziri wa Habari, Monica Mutsvangwa amesema Baraza la Mawaziri la Nchi hiyo limekubaliana kuwa Wafanyakazi waliochanja pekee ndio wanaruhusiwa kuripoti makazini.

Hata hivyo, Katika siku zijazo wamepanga kuwa Watu waliochanja pekee ndio wataruhusiwa kuhudhuria kwenye nyumba za Ibada na kwenye Migahawa ya chakula.

Chanzo: millardAyo