Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu sita wafariki Afrika Kusini

20190914 Map501 660x400.jpeg Watu sita wafariki Afrika Kusini

Tue, 13 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma

Wanajeshi wamelazimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hizo.

Katika Jimbo ambalo Zuma anatokea, KwaZulu Natal kumekuwa na fujo nyingi ikiwemo raia kuchoma maduka, vurugu ambazo zilianza mara baada ya Zuma kujisalimisha polisi ili kutumikia kifungo cha miezi 15.

Chanzo: millardayo.com