Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 55 wahofiwa kufariki kwa kuangukiwa na kontena

Ajali Kontena A0000 Watu 55 wahofiwa kufariki kwa kuangukiwa na kontena

Sat, 1 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kwa mujibu wa taarifa ya Mashuhuda, ajali imetokea eneo la Londiani Nchini Kenya baada ya Lori kupoteza uelekeo na kuwafuata waenda kwa Miguu, Wafanyabiashara na Mabasi madogo ya Abiria yaliyoegeshwa kando ya Barabara.

Kamanda wa Polisi wa Londiani, Agnes Kunga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kueleza kuwa miili ya waliofariki ilikuwa bado iko chini ya 'Kontena' na kwenye Magari yaliyobanwa na Lori hilo.

Zaidi ya Majeruhi 60 wamekimbizwa katika Vituo mbalimbali vya Afya vya Londiani, Kericho na Nakuru. Zoezi la uokoaji limekumbwa na ugumu kutokana na Mvua kubwa zinazonyesha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live