Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 300 wakatwa miguu ndani ya mwezi mmoja

Gunshotwound Watu 300 wakatwa miguu ndani ya mwezi mmoja

Mon, 18 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miezi 11 ya vita nchini Sudan imesababisha machungu kwa watoto na vijana ambako ujumbe wa hivi karibuni wa shirika moja la Umoja wa Mataifa uliozuru hospitali kwenye mji mkuu Khartoum umeshuhudiwa vijana waliokatwa miguu, huku Mkurugenzi wa hospitali hiyo akisema mwezi mmoja uliopita pekee watu wapatao 300 walikatwa miguu yao kutokana na madhara ya vita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live