Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 100 wameuawa Niger

53020081 303 660x394 Watu 100 wameuawa Niger

Sun, 10 Jan 2021 Chanzo: millardayo.com

Mamlaka za Niger zimesema takriban watu 100 wameuawa na Wanamgambo huku wengine 75 wakiachwa na majeraha baada ya mashambulizi kutokea katika Vijiji vya Tchombangou na Zaroum-dareye kwa wakati mmoja.

Waliofanya mashambulizi walitumia pikipiki, walijigawa katika makundi na kuyatekeleza kwa wakati mmoja katika maeneo hayo yaliyopo upande unaopakana na Mali ambapo inasemekana mashambulizi yametokea kufuatia madai kuwa, Wanakijiji wameua Wanamgambo wawili.

Niger inakabiliwa na mapigano ya kijamii na kutoka kwa makundi mbalimbali, lakini hadi sasa hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulio hilo.

“NIDA NI MAJIPU, MWENYE HELA NDIE ANAPATA NAMBA YA NIDA” BASHUNGWA AMPIGIA SIMU BOSS NIDA

Chanzo: millardayo.com