Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watu 10 wafariki dunia kwa ajali ya ndege

6aeb5012e8955e06fb3722d8da531de5 Watu 10 wafariki dunia kwa ajali ya ndege

Thu, 4 Mar 2021 Chanzo: www.habarileo.co.tz

Watu kumi wakiwemo marubani wawili wamefariki dunia jana baada ya ndegekuanguka katika Uwanja wa Ndege Jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini, Gavana wa mkoa huo amethibitisha.

Watu kumi wakiwemo marubani wawili wamefariki dunia jana baada ya ndegekuanguka katika Uwanja wa Ndege Jimbo la Jonglei nchini Sudan Kusini, Gavana wa mkoa huo amethibitisha. "Ilikuwa kwa mshtuko na hofu kubwa kupokea habari za ajali ya ndege (HK-4274) ya Shirika la Ndege Kuu la Sudani Kusini iliyotokea leo (jana) saa 5.05 alasiri huko Pieri Airstrip," Gavana Denay Jock Chagor alisema katika taarifa. yake.

Chanzo: www.habarileo.co.tz