Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Watafiti Uganda wagundua virusi vya corona kwenye mwili wa ngamia na popo

99418 Pic+popo Watafiti Uganda wagundua virusi vya corona kwenye mwili wa ngamia na popo

Thu, 19 Mar 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Kampala, Uganda. Utafiti uliofanya katika Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda umebaini aina ya virusi vya corona kwenye sampuli zilizochukuliwa kwenye mwili wa popo na ngamia nchini humo. Akizungumza kwenye mdahalo wa umma mjini Kampala Profesa Denis Byarugaba ambaye aliongoza utafiti wa kisayansi amesema kuwa wamefanya tafiti nyingi miaka iliyopita ambazo zilibainisha kuwa kuna virusi vinavyopatikana kwenye viumbe wanaoishi na binadamu. Wamesema kuwa wamechunguza sampuli 16,000 na kuona uhalisia wa virusi vya corona kwa asilimia 0.6.   Profesa Byarugaba amesema walifanya uchunguzi kwa popo 500 kwa kipindi hiki ambacho mlipuko huo umetokea na wamebaini virusi vingi vya corona kwenye sampuli hizo. Pia, wamefanya uchunguzi kwenye sampuli za ngamia 5,000 na matokeo yakaonyesha kuwa asilimia 70 kuna majibu chanya.

Chanzo: mwananchi.co.tz