Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wasichana wa miaka 10-19 wanaambukizwa UKIMWI kila wiki

Cure For HIVAIDS People Are Willing To Risk Their Lives If It Helps In Finding A Cure E1577956423169 Wasichana wa miaka 10-19 wanaambukizwa UKIMWI kila wiki

Sat, 9 Apr 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wizara ya Afya Nchini humo imetangaza ongezeko kubwa la maambukizi ya UKIMWI ambapo Watoto wa Kike 98 wenye Miaka 10 hadi 19 huambukizwa VVU kila wiki.

Katika kipindi cha Januari hadi Februari, Wasichana 45,724 wamekutwa na Mimba huku 2,196 wakikumbana na Unyanyasaji wa Kijinsia kwa mabinti wenye Miaka 12 hadi 17.

Takwimu hizo zinatajwa kuwa ni mara tatu ya idadi iliyokuwepo katika Miaka yote.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live