Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanne Wauawa kwa Kupigwa Risasi na Majambazi - Video

Video Archive
Mon, 29 Nov 2021 Chanzo: Global TV Online

Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi, tukio lililotokea huko nchini Kenya.

Watu wanne wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi, tukio lililotokea huko nchini Kenya. Wakazi wa eneo hilo wameeleza kwa uchungu hali halisi inayoendelea katika eneo hilo, ambapo wameelekeza kilio chao kwa Rais ili aweze kuwahakikishia usalama wa maisha yao.

Chanzo: Global TV Online