Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi waandamana kupinga kuongezeka gharama za maisha

Images Cms Image 000027030 660x380 Wananchi waandamana kupinga kuongezeka gharama za maisha

Thu, 12 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Polisi katika Mji Mkuu wa Angola, Luanda wametumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji ambao wanapinga kuongezeka kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira.

Watu kadhaa wamekamatwa huku wengine wakijeruhiwa katika maandamano hayo ambayo yalipigwa marufuku na Mamlaka.

Angola ni miongoni mwa wasafirishaji wakubwa wa mafuta Barani Afrika lakini idadi kubwa ya wananchi wake ni masikini.

Hali ya wananchi kutoridishwa na Serikali imeongezeka katika miezi ya hivi karibuni ambapo kumekuwa na maandamano kadhaa kupinga ufisadi, ajira na unyanyasaji wa Polisi.

UREMBO WA MDOGO WAKE BASHE WAMKOSHA SPIKA NDUGAI ASHINDWA JIZUIA “YUKO VIZURI”

Chanzo: millardayo.com