Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wananchi 3,600 wamekimbia baada ya uchaguzi Ivory Coast

588c5e024 Wananchi 3,600 wamekimbia baada ya uchaguzi Ivory Coast

Tue, 10 Nov 2020 Chanzo: millardayo.com

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Wakimbizi (UNHCR) limesema wananchi 3,600 wamekimbia nchini Ivory Coast kutokana na hofu ya kutokea machafuko baada ya Uchaguzi Mkuu.

UNHCR imesema idadi iliongezeka mara baada ya mchakato wa upigaji kura uliofanyika Oktoba 31 ambapo Rais Alassane Ouattara aliyewania kwa muhula wa tatu alitangazwa mshindi.

Shirika hilo linasema Liberia ambayo inaimarika kutoka kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe haina uwezo wa kupokea wakimbizi.

LAANA YA KIFO INAYOMUANDAMANA JOE BIDEN, ATAKUFA?, MARAIS 7 IMEWAKUMBA WAKAFA

Chanzo: millardayo.com