Tue, 29 Mar 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Watu waliojihami kwa silaha katika Jimbo la Kaduna wamelishambulia kwa risasi treni iliyokuwa na abiria 1,000 na kuwateka baadhi yao ambao idadi yao haijafahamika
Idadi ya majeruhi na waliofariki bado haijafahamika huku Vikosi vya Usalama vikiendelea kuwapeleka Majeruhi hospitali hapo ili kutibiwa
Aidha, Watu wengi wamekuwa wakitumia usafiri wa treni nchini humo baada ya matishio ya mashambulio na utekaji kuwa mengi katika njia nyingine za usafiri
Chanzo: www.tanzaniaweb.live