Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wanajeshi wasambazwa mitaani Zambia ikiingia kwenye uchaguzi leo

Lunguuu Zambia

Thu, 12 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Agosti 12 2021, Nchini Zambia wameanza zoezi la uchaguzi mkuu ambapo Edgar Lungu anawania Muhula wa pili wa Urais, Huku akipambana na ushindani mkubwa kutoka kwa Hakaide Hichilema wa Chama kikuu cha upunzani.

Wananchi wengi chini humo ambao wamejitokeza kupiga kuraa wanadai kutaka maboresho katika swala zima la Uchumi pamoja na fursa bora za ajira.

Hata hivyo, polisi na wanajeshi wametanda kote chini hukakisha halinl ya usalama ipo sawa katika vituo vyote vya kupiga kura. Huku idadi kubwa ya waangalizi wa kimataifa wakifatilia uchaguzi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live