Mon, 15 May 2023
Chanzo: Bbc
Chama cha wamiliki wa matatu nchini Kenya wamesema hawana budi bali kuwatwisha abiria mzigo huo wa bei ya mafuta kwa kuongeza nauli kuendana na bei mpya ya mafuta ya petroli na dizeli.
Chama cha wamiliki wa matatu nchini Kenya wamesema hawana budi bali kuwatwisha abiria mzigo huo wa bei ya mafuta kwa kuongeza nauli kuendana na bei mpya ya mafuta ya petroli na dizeli. Mwenyekiti wa Chama cha wamiliki wa matatu (daladala) nchini Kenya, Samuel Kimutai amezungumza na Mwandishi wa BBC Carol Robi.
Chanzo: Bbc