Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waliochukuliwa taarifa na world coin wadai kuugua macho

World Coin (16).jpeg Waliochukuliwa taarifa na world coin wadai kuugua macho

Sun, 3 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mbunge wa Kisumu Mashariki, Shakeel Shabbir amelieleza Bunge kuwa amepokea Malalamiko ya Wananchi 5 waliodai kupata shida za Kiafya ikiwemo maumivu ya Macho kutokana na Usajili wa Mboni ya Jicho waliofanyiwa na Kampuni ya Sarafu Mtandao ya Worldcoin

Waziri wa Afya, Susan Nakhumicha amekiri Kifaa hicho hakikufanyiwa majaribio ya uchunguzi kabla ya kutumika na hivyo, waliopata matatizo watafute msaada wa matibabu

Ikumbukwe, Kampuni ya #WorldCoin inayojihusisha na Biashara ya Sarafu Mtandao (Cryptocurrency), inatuhumiwa kusajili Wateja wake kwa kuchukua Taarifa zao kupitia Mboni ya Jicho

Chanzo: www.tanzaniaweb.live