Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walinzi wa Rais watiwa mbaroni kwa kujaribu kufanya Mapinduzi

Traoreeeee Walinzi wa Rais watiwa mbaroni kwa kujaribu kufanya Mapinduzi

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kufeli kwa jaribio la tisa (9) la kumpindua Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore siku kadhaa zilizopita, vyombo vya habari vya kimataifa vimethibitisha kwamba jaribio hilo lilifanywa na mmoja wa walinzi wa Rais ambaye aliwafyatulia risasi walinzi wenzake.

Baada ya kufeli kwa jaribio la tisa (9) la kumpindua Rais wa Burkina Faso, Kapteni Ibrahim Traore siku kadhaa zilizopita, vyombo vya habari vya kimataifa vimethibitisha kwamba jaribio hilo lilifanywa na mmoja wa walinzi wa Rais ambaye aliwafyatulia risasi walinzi wenzake. Mara baada ya kumdhibiti mlinzi huyo, intelijensia ya Burkina Faso imewakamata walinzi wa Rais 12 kwa ajili ya mahojiano na upelelezi yakinifu kwa maana inasemekana waliuhusika kupanga uasi huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live