Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Walemavu wapewa msaada wa Tsh. Bilioni 1 Kenya

Govana Kakamega Governor Wycliffe Oparanya

Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Gavana wa jimbo Kakamega nchini Kenya , Wycliffe Oporanyaa, ametenga zaidi ya Billini moja kwa ajali ya watu wenye ulemavu.

Oparanya amesema, wametenga bajeti hiyo kwa ajili ya wananchi mwenye Ulemavu na sehemu wanazoishi pamoja na mahitaji yao.lengo kuu ni kuwaninua na kuwasaidia kupata mahitaji muhimu.

"Tutawakabidhi vifaa kulingana na mahitaji yao ikiwemo kiti mwendo,fimbo za kutembelea na pia tutawapa Elimu", amesema Oparanya.

Ameyasema hayo Septemba 9, wakati alipokuwa na kikao na wanafanya kazi serikalini kitengo cha watu wenye ulemavu (NCPWD) wakiongozwa na Mkurugenzi ,Harun Hassan.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live