Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakuu wa jeshi la Ethiopia-Somaliland wakutana

Wakuu Wa Jeshi La Ethiopia Somaliland Wakutana Wakuu wa jeshi la Ethiopia-Somaliland wakutana

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: Bbc

Wakuu wa jeshi la Ethiopia isiyo na ile ya Somaliland wamekuwa wakijadiliana kuhusu ushirikiano wa kijeshi huku wasiwasi ukiongezeka kuhusu makubaliano ambayo yanaweza kuipa Ethiopia kambi ya jeshi la wanamaji kwenye Ghuba ya Aden.

Pande hizo mbili zilitia saini mkataba Januari 1 ili kuipa Ethiopia fursa ya kibiashara na kijeshi baharini.

Somalia ilikiita kitendo cha uchokozi. Inachukulia Somaliland kama sehemu ya eneo lake na imeapa kutetea uhuru wake.

Somaliland iliyokuwa chini ya ulinzi wa Uingereza, ilijitenga kutoka Somalia mwaka 1991 lakini haitambuliwi kimataifa kama taifa huru.

Mkuuwa jeshi la Ethiopia Birhanu Jula alizungumza na Meja Jenerali wa Somaliland Nuh Ismael Tani kuhusu "njia zinazowezekana za kufanya kazi pamoja" katika mkutano wa Jumatatu mjini Addis Ababa, jeshi la Ethiopia lilisema katika taarifa.

Chanzo: Bbc