Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakimbizi 17 wafariki baharini wakiwa njiani kutorokea Marekani

Wakimbizi Baharini.png Wakimbizi 17 wafariki baharini wakiwa njiani kutorokea Marekani

Mon, 25 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakimbizi 17 wa Haiti wamefariki Dunia baada ya mashua waliyokuwa wakiitumia kuzama kwenye maji huku wengine wengi wakiwa hawajulikani walipo.

Walikuwa njiani kuelekea Miami Nchini Marekani kupitia Bahamas, sababu ya kukimbia Nchi yao zikitajwa kuwa ni umasikini na vurugu za wahalifu.

Kikosi cha waokoaji kimesema kimefanikiwa kupata miili 17 akiwemo mtoto mchanga huku Watu 25 wakiokolewa kati yao Wanawake wakiwa ni wanne na inadaiwa mashua hiyo ilibeba watu 60

Chanzo: www.tanzaniaweb.live