Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakili feki akana mashtaka, ataka kugombea ubunge

Wakili Feki Akana Mashtaka, Ataka Kugombea Ubunge Wakili feki akana mashtaka, ataka kugombea ubunge

Thu, 19 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Brian Njagi anayetuhumiwa kufanya majukumu ya uwakili bila kuwa na vigezo vya elimu nchini Kenya amekana mashtaka hayo mahakamani leo Oktoba 18, 2023 huku akitangaza nia ya kugombea ubunge katika uchaguzi ujao.

Njagi ambaye amekuwa akifanya majukumu ya uwakili wa kisheria, amefikishwa mahakamani jijini Nairobi leo Jumatano asubuhi kufuatia kukamatwa kwake wiki hii.

Mwanaume huyo anakabiliwa na mashtaka ya kughushi nyaraka rasmi ili kufanya kazi ya uwakili na wizi wa utambulishon amekana mashtaka hayo lakini pia ametangaza nia kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa 2027 nchini humo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live