Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakenya washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu kiharamu nje ya nchi

Wakenya Washtakiwa Kwa Jaribio La Kusafirisha Chungu Kiharamu Nje Ya Nchi Wakenya washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu kiharamu nje ya nchi

Tue, 27 Jun 2023 Chanzo: Bbc

Wakenya watatu washtakiwa kwa jaribio la kusafirisha chungu wenye thamani ya shilingi 300,000 za Kenya bila kibali kutoka shirika la Wanyama Pori nchini humo.

Watu hao watatu, mwanaume, mkewe na mtu mwingine wanadaiwa kutaka kusafirisha chungu kinyume cha sheria kwa nchi za China na Ufaransa.

Hata hivyo, watu hao walikanusha mashtaka dhidi yao ya kuhusika na spichi za wanyama walio hai bila idhini.

Wakati wa kesi hiyo, mwendesha mashtaka alimtaka jaji kuharakisha usikilizaji wake kwa sababu maisha ya chungu hao yako hatarini.

Chanzo: Bbc