Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wakenya mtandaoni wagawanyika kuhusu zawadi ya KSh5M

97e06c12b54ccb16 Wakenya mtandaoni wagawanyika kuhusu zawadi ya KSh5M

Wed, 16 Jun 2021 Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke

Wakenya kwenye mtandao wa kijamii wametoa hisia zao kuhusu Ugali Man, ambaye alizawadiwa hundi ya KSh 5 milioni na gari jipyaBaadhi walihisi kuwa si jambo la busara kuzawadi watu kama yeye katika jamii kwani ni kuua motisha ya wanaotia bidii ya mchwaHata hivyo, wengine walihoji kwamba jamaa huyo anastahili baraka hizo na hakuna yeyote atakayeweza kuzuia

Wakenya wametoa hisia mseto kufuatia zawadi la gari na hundi ya KSh 5 milioni ambazo zilikabidhiwa mtu mcheshi mtandaoni, Ugali Man.

TUKO.co.ke awali ilikuwa imemuangazia Ugali Man, ambaye jina lake la kuzaliwa ni Charles Odongo, baada ya kumpuni ya bahati nasibu nchini kumzawadi.

Katika picha ambazo TUKO.co.ke ilithibitisha, Odongo alizawadiwa gari jipya aina ya Toyota na pia kuongezewa hundi ya shilingi KSh 5 na kampuni hiyo.

Picha zilizosamabzwa mitandaonzi zinamuonyesh Odongo akiwa mwingi wa furaha na kushikilia hundi ya pesa.

Alipendekezwa na mcheshi Jaymo Ule Msee na mtangazaji wa Classic 105, Maina Kageni.

Mvunja mbavu Jalang’o, ambaye hii majuzi akifanya mahijiani naye ndiye alisimmaia hafaol hiyo.

Hata hivyo, Wakenya kwenye mtandao wa kijamii walikuwa na hisia mseto kuhusu zawadi hizo.

@Maina Charles: "Wakati siku yako itafika hakuna chochote kinaweza kukuzuia"

@Ngari Junior Sn alisema: "Kufinya mchanganyiko wa maji na unga kulimpa huyu jamaa gari"

@Sunday Palmer Philan: "Mtu wa kwanza ambaye hafahii kumsahau ni yule alimchukuwa video yake ya kwanza."

@Nephat Muchiri: "Unakula hadi wakuwa shujaa"

@John Ndalila: "Yani kula ugali yaweza kufanya mtu kuwa maarufu na tajiri hivyo? Maajabu"

@Rop Kiptoo: "Wazimu, nani huwashauri Wakenya kweli? Kwani unamzawd mtu kwa kula ugali? Huu ni ujinga wa hali ya juu."

READ ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected] au WhatsaApp: 0732482690.

Chanzo: kiswahili.tuko.co.ke