Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wajackoyah: Nikiwa Rais tutaotesha bangi hadi Barabarani

Com Wajackoyah E Profesa George Wajackoyah

Mon, 20 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya August 2022 Profesa George Wajackoyah wa Chama cha Roots chenye kauli mbiu ya ‘tingiza mti’ amesema iwapo Wakenya watamchagua kuwa Rais ataruhusu Wananchi kulima bangi na ndio njia rahisi ya kumaliza tatizo la ajira.

Mgombea Urais kwenye Uchaguzi Mkuu wa Kenya August 2022 Profesa George Wajackoyah wa Chama cha Roots chenye kauli mbiu ya ‘tingiza mti’ amesema iwapo Wakenya watamchagua kuwa Rais ataruhusu Wananchi kulima bangi na ndio njia rahisi ya kumaliza tatizo la ajira. “Bangi gunia moja ni dola milioni 3 za Kimarekani (Tsh. Bilioni 6.9, Ksh. milioni 352) gunia moja la maharage ni shilingi elfu sita za Kenya (Tsh. laki moja na elfu kumi na tisa), sasa ukiwa na bangi kwako ukaweza kuuza gunia moja utakuwa na shida gani nyingine?”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live