Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafunga mitaa kupinga ugumu wa maisha

Malysia Maandamano Ugumu Maisha.png Wafunga mitaa kupinga ugumu wa maisha

Mon, 25 Jul 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zaidi ya watu 500 wamekusanyika na kuandamana wakilalamikia gharama za maisha kuwa kubwa Jijini Kuala Lumpur Nchini Malaysia yakihusisha wanasiasa vijana wa upinzani ambapo pia walipata nafasi ya kutoa hotuba.

Sehemu ya madai ya waandamani ni kudhibiti ongezeko la bei za bidhaa, usalama wa chakula na kutoa misaada kwa Wananchi.

Maandamano hayo yalihusisha watu kutoa taasisi tofauti ambapo Polisi waliweka vizuizi na kueleza kuwa hawakuwa na taarifa juu ya maandamano hayo kama inavyotakiwa kufanyika kwa mujibu wa sheria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live