Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafuasi wa Odinga wadai: Kulikuwa na 'Ubakaji wa demokrasia'

ODYY Wafuasi wa Odinga wadai: Kulikuwa na 'Ubakaji wa demokrasia'

Tue, 16 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mgombea wa upinzani na Waziri mkuu wa zamani wa Kenya Raila hajazungumza hadharani baada ya hasimu wake William Ruto kutangazwa kuwa Rais mteule.

Haijawa wazi iwapo Bw Odinga atawasilisha mashitaka kupinga matokeo ya uchaguzi Mshauri wa zamani wa Bw Odinga, Salim Lone, ameieleza BBC maoni yake kuhusu kupoteza ushindi kwa mkuu wake wa zamani.

Ujumbe wa nukuu ’’Nimekuwa na mazungumzo marefu nay eye na amesema wazi kwamba anadhani ni kama huu ulikuwa ni ubakaji wa demokrasia.

Kwahiyo, haoni kuwa hii inakubalika kabisa’’ Unumbe wa nukuu : ‘’Tatizo letu ni kwamba huu ni uchaguzi wa nne wenye ushindani mkali na huu ulikuwa mbaya zaidi wakati tulidhani kuwa hatimaye huu ungekuwa bora zaidi.

Sio wa kuaminika kwa sababu makamishna wanne kati ya saba hawakusaini katika tangazo kuhusu kutangazwa kwa Bw Ruto kwamba alichaguliwa kisheria ." Mgombea mwenza wa Bw Odinga Martha amesema kwenye Twitter kwamba : "haijaisha hadi iishe’’

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: