Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafanyakazi Kenya Airways wapanga kugoma

Kenya Airways Kl.jpeg Wafanyakazi Kenya Airways wapanga kugoma

Thu, 3 Nov 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Imedaiwa mpango huo unatarajiwa kuanza muda wowote kuanzia leo Novemba 3, 2022 baada ya mazungumzo ya wiki mbili baina ya pande mbili kutopata muafaka.

Marubani wanataka warejeshewe mchango wa mafao yao ya kustaafu ambayo yalisimamishwa wakati wa kipindi cha UVIKO-19, wakati Shirika limeweka wazi kuwa halipo vizuri kiuchumi na mpango huo wanaotaka marubani utarejeshwa katikati ya 2023.

Kenya Airways imekuwa ikipata hasara hivi karibuni, ikiwa inapata msaada mkubwa kutoka kwa mwanahisa mkubwa ambaye ni Serikali. Inaelezwa mgomo huo ambao unalenga zaidi Jiji la Nairobi unaweza kusababisha hasara ya Dola Milioni 2.5 (Tsh. Bilioni 5.8).

Chanzo: www.tanzaniaweb.live