Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wafalme 10 waliokuwa na nguvu zaidi Barani Afrika

Shaka Zulu 700x392 2 Shaka Zulu

Thu, 13 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shule ya Msingi na Sekondari wengi tumesoma Kuhusu Wafalme waliowahi kutawala Afrika kabla ya Ukoloni, ifuatayo ni List ya Wafalme 10 waliokuwa na Nguvu na Ushawishi Mkubwa zaidi Barani Afrika.

Ramesses II. Alikuwa Pharaoh wa Tatu wa Misri, inasemekana huyu ndio Pharaoh mwenye nguvu na Ushawishi mkubwa kuwahi kutokea Nchini Misri, Alizaliwa Mwaka 1303 BC alifariki Mwaka 1213 BC. Amefariki Akiwa na Wake 200 na Watoto 100.

Sundiata Keita. Ni Mfalme wa Kwanza wa Mali Empire, Mwaka 1235 Mpaka 1255.

Mansa Musa. Allikuwa Mfalme wa Mali amezaliwa Mwaka 1280, ni Mjukuu wa Sundiata Keita. Alikuwa Mfalme Mwaka 1312 mpaka 1337.

Sunni Ali Ber Alifahamika Pia Kama "Ali The Great", Alikuwa Mfalme wa Songhai Empire Mwaka 1464 mpaka 1492.

Amenhotep III. Alikuwa Pharaoh wa Misri Mwaka 1386 BCE-1353 BCE.

Shaka Zulu. Alikuwa Mfalme wa Zulu Empire, Mwaka 1816.

Endubis. Alikuwa Mfalme wa Ethiopia.

Menelik II. Mfalme wa Ethiopia Kuanzia Mwaka 1889 mpaka 1913.

Askia The Great. Mfalme wa Songhai Empire, Mwaka 1493 Mpaka 1528.

Ezana Axum. Huyu alikuwa Mfalme wa Ethiopia kabla ya Endubis.

Mfalme gani Barani Afrika historia Yake inakuvutia Zaidi na unatamani siku moja ufanye mambo makubwa kama yeye?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live