Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wadukuzi wapita na tovuti za Serikali, wapiga Tsh mil 46

IStock 962366210 Wadukuzi wapita na tovuti za Serikali

Thu, 24 Feb 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kundi la wadukuzi linalojiita 'Yemen Hackers' limedai kudhibiti Tovuti 34 za Serikali ya Msumbiji na kutaka lipewe takriban Tsh. Milioni 46 (Dola za Marekani 20,000).

Kundi la wadukuzi linalojiita 'Yemen Hackers' limedai kudhibiti Tovuti 34 za Serikali ya Msumbiji na kutaka lipewe takriban Tsh. Milioni 46 (Dola za Marekani 20,000). Wadukuzi wamesema wanataka Fedha hiyo ndani ya saa 24 au watavujisha taarifa za siri zikiwemo za Wizara ya Ulinzi. Fedha wanayoitaka itatakiwa kutumwa kwa Bitcoins. Serikali inatarajiwa kuzungumzia Udukuzi huo leo Februari 24, 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.live