Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Wabunge wataka zuio wanawake kutumikishwa Uarabuni

Bunge La Kenya.png Wabunge wataka zuio wanawake kutumikishwa Uarabuni

Wed, 12 Oct 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kutokana Ripoti za hivi karibuni za Unyanyasaji wa Kijinsia, Kimwili na Kiakili wa Wafanyakazi Wahamiaji katika Mashariki ya Kati, Wabunge Wanawake Wamesema Serikali inapaswa kudhibiti Mashirika yanayowapeleka Wanawake katika Nchi hizo hadi pale watakapohakikishiwa Ulinzi na Usalama Wao

Kutokana Ripoti za hivi karibuni za Unyanyasaji wa Kijinsia, Kimwili na Kiakili wa Wafanyakazi Wahamiaji katika Mashariki ya Kati, Wabunge Wanawake Wamesema Serikali inapaswa kudhibiti Mashirika yanayowapeleka Wanawake katika Nchi hizo hadi pale watakapohakikishiwa Ulinzi na Usalama Wao Pia wameitaka Wizara ya Kazi kuwapa Orodha ya Mashirika na ldadi ya Wakenya wanaofanya kazi #SaudiArabia na katika Nchi nyingine ili kuwawezesha kuelewa Makubaliano kati ya Wizara na Mashirika hayo na hali ya Usalama ya Wafanyakazi hao

Chanzo: www.tanzaniaweb.live