Tue, 8 Nov 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Baadhi ya wabunge kutoka chama tawala (UDA) nchini Kenya wanafanyia kazi mabadiliko ya katiba kuondoa ukomo wa Urais wa mihula miwili, badala yake ukomo uwe ni umri wa miaka 75.
Baadhi ya wabunge kutoka chama tawala (UDA) nchini Kenya wanafanyia kazi mabadiliko ya katiba kuondoa ukomo wa Urais wa mihula miwili, badala yake ukomo uwe ni umri wa miaka 75. Endapo watafanikiwa, Rais William Ruto (55) atakuwa na uwezo wa kuiongoza Kenya kwa miaka 20.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live