Mon, 14 Nov 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Hatua hiyo inafuatia baadhi ya Wabunge kuwasilisha hoja kwa Spika Moses Wetang'ula wakidai baadhi ya Sheria ziko kinyume na Katiba na hazina idhini ya Bunge.
Pia, Wabunge wamewatuhumu Mawaziri waliopita kwa kutunga Kanuni ambazo zimekuwa Kandamizi, wakisema hazikufuata mkondo sahihi kabla ya utekelezaji.
Benki Kuu ya Kenya (CBK) na Tume ya Ajira za Walimu (TSC) pia zimetajwa kupora Mamlaka ya Bunge kwa kujitungia Sheria zinazokinzana na Bunge. Spika Wetang'ula anatarajia kutoa uamuzi kuhusu hoja hizo.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live