Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Waandamanaji wachoma jengo la Mahakama ya juu Nigeria (+video)

Ek79GLKUYAYvKN9.jpeg Waandamanaji wachoma jengo la Mahakama ya juu Nigeria (+video)

Thu, 22 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo October 22, 2020 Waandamanaji nchini Nigeria wamechoma moto jengo la Mahakama ya juu nchini humo wakati wakiendelea na maandamano kupinga ukatili wa Polisi.

Aidha, maandamano hayo ambayo yameanza kuchukua sura ya kisiasa yamesababisha vifo vya watu 12 kwa mujibu Amnesty International.

LIVE: MAGUFULI AMUITA JOSHUA NASSARI AMUAHIDI KAZI “EBU NJOO UWAOMBEE KURA WENZAKO, NITAKUPA KAZI”

Chanzo: millardayo.com