Wed, 25 Jan 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Muswada umewasilishwa katika Bunge la Kitaifa nchini Kenya ukilenga kuweka zuio kwa Waajiri kuwapigia Simu Waajiriwa wao baada ya Saa za kazi.
Muswada umewasilishwa katika Bunge la Kitaifa nchini Kenya ukilenga kuweka zuio kwa Waajiri kuwapigia Simu Waajiriwa wao baada ya Saa za kazi. Endapo Muswada huo utapitishwa basi ukiukwaji wake utapelekea Mwajiri kupigwa faini ya takriban Tsh. 9,404,426 au kifungo cha Mwaka Mmoja jela.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live