Thu, 20 Oct 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Wizara ya Afya imethibitisha visa 61 vya Ugonjwa wa Kipindupindu vilivyorekodiwa katika Kaunti 6, huku Visa 31 vikiripotiwa Katika Kaunti ya Kiambuu pekee kufuatia Sherehe ya Harusi
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Afya, Dkt. Patrick Amoth amesema Ukame unaoendelea unakwamisha Juhudi za Wizara za Kupambana na Mlipuko huo
Aidha Malawi ilitangaza Mlipuko wa Ugonjwa huo mnamo Mwezi Machi ambapo hadi sasa umesababisha vifo vya zaidi ya Watu 120 huku 4,420 wakiambukizwa
Chanzo: www.tanzaniaweb.live