Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Viongozi wa IGAD wamtaka Rais wa Sudan Kusini kumaliza mgogoro na Ethiopia

IGAD Viongozi wa IGAD wamtaka Rais wa Sudan kumaliza tofauti na Ethiopia

Tue, 7 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viongozi kutoka mataifa ya Afrika Mashariki ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika IGAD, wamemtaka Rais wa Sudani Kusini, Salva Kiir kumaliza mgogoro baina ya tafa hilo na Ethiopia.

Umoja huo umesisitiza jambo hilo kupitia Waziri Mkuu wa nchini humo, Abdallah Hamko,na kutaka afikishe suala hilo kwa Rais kwani ndiye mtu sahihi wa kumaliza sintofahamu hiyo.

"Mwenyekiti wa IGAD, ameomba Rais kiir aende nchini Ethiopia kwa kuwa wana amini ndiye mtu sahihi ambaye anaweza kutatua mgogoro huu, hata hivyo wamesisitiza zaidi kwani wana amini anaweza kumudu maongezi baina ya pande zote mbili"Amesema Waziri huyo.

Hata hivyo, taarifa zaidi zinaeleza kuwa tayari Ofisi ya Rais imeshapokea ombi hilo na imekubali kulifanyia kazi kwa haraka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live