Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Vikosi vya Rwanda na Zambia vimefanikiwa kuwazunguka magaidi Msumbiji

CABO CABO Vikosi vya Jeshi la Rwanda na Zambia vya zunguka kambi ya Magaidi Msumbiji

Thu, 26 Aug 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Vikosi vya Jeshi la Rwanda na Msumbiji vimeripotiwa kuwazunguka wapiganaji wanaodaiwa kuwa magaidi katika mkoa wa Cabo Delgado kaskazini mwa nchi ya Msumbiji.

Vikosi hivyo viliwazunguka magaidi hao kwenye maeneo ambayo yametajwa kwa alama za mafumbo kuwa ni Siri I na Siri II, huku wakihofiwa kutaka kufanya shambulizi la mauaji katika eneo hilo.

Hatua hiyo imekuja ikiwa imepita siku nne baada ya vikosi hivyo kwa pamoja kulidhibiti eneo la Mbau, lililokuwa ngome ya waasi hao baada ya mapambano makali, hivyo kitendo cha magaidi hao kuhamia katika mkoa huo wa Cabo kinatatoa tafsri ya vugu vugu jipya la mauaji, hali ambayo inatishi usalama wa raia katika eneo hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live