Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO:Machafuko Afrika Kusini, Maduka yachomwa moto, vibaka wavamia

Video Archive
Tue, 13 Jul 2021 Chanzo: millardayo.com

Maandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha juu ya kufungwa jela kwa Rais wa zamani Jacob Zuma na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali.

Maandamano yenye ghasia yameendelea nchini Afrika Kusini usiku kucha juu ya kufungwa jela kwa Rais wa zamani Jacob Zuma na kufanya uharibifu wa mali mbalimbali. Duka moja kubwa huko Pietermaritzburg, katika Mkoa wa KwaZulu-Natal limechomwa moto leo Julai 12,2021 sambamba na uporaji na uharibifu wa mali ukiendelea.

Chanzo: millardayo.com