Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

VIDEO: Corona ilivyoibua hofu Afrika Kusini, Uganda na Kenya

VIDEO: Corona ilivyoibua hofu Afrika Kusini, Uganda na Kenya

Sat, 28 Mar 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Baadhi ya Watanzania wanaoishi Afrika Kusini, Uganda na Kenya wamezungumzia jinsi wanavyoishi baada ya shughuli mbalimbali nchini humo kusimamishwa, na baadhi wananchi kuzuiwa kutoka nje.

Mathalani Afrika Kusini wananchi wamezuiwa kutoka nje kuanzia jana, huku Kenya wakitakiwa kukaa ndani kuanzia saa 1 jioni.

Wakizungumza na Mwananchi Digital wameeleza changamoto wanayokumbana nayo kwa kukaa ndani ili kuepuka maambukizi zaidi.

Machi 24, 2020  Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa alitangaza zuio la watu kutoka nje huku Machi 27, 2020 Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta akipiga marufuku wananchi kutembea kuanzia saa 1 jioni.

Chanzo: mwananchi.co.tz