Imeelezwa waathirika wakubwa ni Vijana wa Afrika Mashariki wanaotoka nje ya Nchi zao ambapo wanakumbana na matukio ambayo yanayokwenda kinyume na Haki za Binadamu.
Imeelezwa waathirika wakubwa ni Vijana wa Afrika Mashariki wanaotoka nje ya Nchi zao ambapo wanakumbana na matukio ambayo yanayokwenda kinyume na Haki za Binadamu. Mkurugenzi wa Shirika la Kazi la Kimataifa (ILO) Afrika, Alexio Musindo amebainisha kuwa wengi wanaopitia Mateso ni wanaohamia Nchi za Mashariki ya Kati, hivyo ili kuondoa hali hiyo ILO inafanya Kazi kwa ukaribu na Serikali kwa ajili ya kutengeneza Mazingira ya Utawala Bora.