Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Upinzani Kenya: Sasa tunamtambua Ruto kama Rais wa Kenya

Rais Ruto Kufanya Ziara Ya Siku 5 Mlima Kenya.png Upinzani Kenya: Sasa tunamtambua Ruto kama Rais wa Kenya

Sun, 3 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiongozi wa Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano, Kalonzo Musyoka amesema, kwasasa Upinzani Nchini humo unamtambua #WilliamRuto kama Rais baada ya kuonesha jitihada za kutafuta muafaka kati ya Serikali na upande wa Upinzani ukiongozwa na #RailaOdinga

Kiongozi wa Kamati ya Kitaifa ya Majadiliano, Kalonzo Musyoka amesema, kwasasa Upinzani Nchini humo unamtambua #WilliamRuto kama Rais baada ya kuonesha jitihada za kutafuta muafaka kati ya Serikali na upande wa Upinzani ukiongozwa na #RailaOdinga Amesema Rais ameonesha ukomavu na msimamo wa Serikali kwa kuunga mkono mazungumzo yanayoendelea kwa pande mbili, licha ya upinzani kutoka kwa Naibu wake, #RigathiGachagua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live