Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Upinzani Burundi wakutanza Dar

Rwasa Agathon Drt Rwasa Agathon.

Mon, 8 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari zinasema viongozi wawili wa vyama vya kisiasa vya upinza nchini Burundi, Rwasa Agathon na Léonce Ngendakumana wamekutana jijini Dar es salaam nchini Tanzania kwa mazungumzo ya kisiasa.

Frodebu na CNL ni vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na viongozi hao,baadhi ya wataalamu wa kisiasa wakisema kuwa huenda ni katika kuweka nguvu pamoja kuelekea katika uchaguzi wa wabunge na seneti mwaka huu.

Uchaguzi Mkuu wa Urais umepangwa kufanyika mwaka wa 2027 baada ya katiba ya nchi kufanyiwa marekebisho ambapo kwasasa Rais atakuwa na muhula wa miaka saba Madarakani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live