Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Updates Uchaguzi Kenya: Ruto anaongoza kwa kura

Ruto Odinga   .jfif Ruto na Odinga

Thu, 11 Aug 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Agosti 11, 2022, saa 1:00 asubuhi:

Agosti 11, 2022, saa 1:00 asubuhi: Wakati matokeo yakiendelea kuhesabiwa huko nchini Kenya, Matokeo ya awali yanaonesha, Mgombea wa UDA, Naibu Rais William Ruto akiwa na kura 5,343,931 sawa na 49.87%, huku Mgombea wa Azimio la Umoja, Raila Odinga, akiwa na kura 5,224,225 sawa na 48.75%.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live