Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uingereza "Magaidi wanaweza shambulia Uganda"

Uganda 12.png Bendera ya Uganda

Fri, 15 Oct 2021 Chanzo: JamiiForum

Uingereza imesema Magaidi wanaweza kushambulia Uganda na kuwataka Raia wake kuepuka maeneo ya halaiki ikiwemo mikusanyiko ya kidini na Michezo.

Japo Uingereza haijataja kundi litakalohusika na shambulio hilo, Mamlaka za Uganda zimeanza kuwalaumu waasi wa ADF kuwa ni wahusika.

Wiki iliyopita Polisi walimuua Mtu aliyedhaniwa kuwa muasi wa ADF, Hamid Nsubuga(25) kwa madai ya kuwa na mipango ya kumuua Mwanasiasa.

Chanzo: JamiiForum