Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda yatangaza maombolezo siku tatu

D44264c29ac3aaf0d1d9e4c362e0c6f8 Uganda yatangaza maombolezo siku tatu

Sat, 25 Jul 2020 Chanzo: habarileo.co.tz

RAIS Yoweri Museveni wa Uganda ametangaza maombolezo ya siku tatu na bendera kupepea nusu mlingoti nchini humo kufuatia kifo cha Rais wa awamu wa tatu wa Tanzania, Benjamini Mkapa.

Mkapa (81) amefariki dunia usiku wa kuamkia jana na atazikwa Jumatano ijayo Julai 29 Kijijini kwao Lupaso, mkoani Mtwara.

Museveni ametangaza maombolezo hayo kuanzia leo Julai 25 kwa heshima ya Rais huyo mstaafu wa awamu ya tatu nchini.

Chanzo: habarileo.co.tz