Afrika

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Uganda yapitisha muswada wa sheria ya mapenzi ya jinsia moja

Kiongozi Wa LGBTQ Nchini Uganda Ahofia Kupoteza Makazi Yake Uganda yapitisha muswada wa sheria ya mapenzi ya jinsia moja

Tue, 2 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Licha ya mabadiliko kadhaa yaliyofanyika, muswaada huo mpya umebakisha vingi ya vipengele vinavyoruhusu hatua kali zaidi dhidi ya jamii hiyo, ikiwemo adhabu ya kifo kwa atakayekutwa na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na kifungo cha miaka 20 kwa kuhamasisha juu ya vitendo hivyo.

Licha ya mabadiliko kadhaa yaliyofanyika, muswaada huo mpya umebakisha vingi ya vipengele vinavyoruhusu hatua kali zaidi dhidi ya jamii hiyo, ikiwemo adhabu ya kifo kwa atakayekutwa na hatia ya kushiriki mapenzi ya jinsia moja na kifungo cha miaka 20 kwa kuhamasisha juu ya vitendo hivyo. Wanaharakati wanasema muswaada huo huenda ukazitazama harakati za kutetea haki za jamii hiyo ya LGBTQ kama kitendo cha kihalifu. Rais Yoweri Museveni mwezi uliopita aliurudisha muswaada huo bungeni na kuwaomba wabunge kufanyia marekebisho vipengele kadhaa vya muswaada wa mwanzo na kulegeza baadhi ya hatua.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live